Monday, January 9, 2012

Regional Press Centres without viable commercial projects will die...

WHEN the first regional/zonal community paper, Nyasa leo, was established the vision was to acceleerate development in the periphery.

Existence of Regional Press Centre and a national umbrella institution for the same was a critical element designed to own, manage, run independent regional newspaper, radio and television stations.

I still believe most RPC shall die if they continue to depend on donors and don't have a valid media project of their own in their respective regions or zones.

DEMOCRATICALLY BEST AND WORST MEDIA IN TANZANIA

REDIO moja nchini (siitaji nikajaitwa mhaini), ikipitia magazeti ilinukuu picha ya mwalimu akimsaidia mwanafunzi wa darasa la kwanza asiyejua kuandika akifundishwa kuandika. Upeo wa wachambuzi hao badala ya kutoa feli hiyo kasoro uliisifia. Ukweli lakini ni kwamba mtoto anayeingia darasa la kwanza lazima awe tayari anajua kuandika na kusoma kama mpwa wangu Mwanabaki ambaye kaanza darasa la kwanza Januari hii lakini ananisomea gazeti zima!!! Ipo haja ya kuangali a elimu, uwezo na ustadi wa wachambuzi wa habari na mambo kama hayo katika vyombo vyetu vya habari ili chombo kizima cha habari kisijekuonekana hakijaenda shule!!! Na kimejaa Maimuna na kina naninihino!

BARAZA la habari Tanzania/ TAMWA, LHRC na wadau wengineo wakati haujafika wa kuanzisha na kuwa na TUNZO KWA VYOMBO VYA HABARI VINAVYOENZI NA KULINDA DEMOKRASIA, UHURU WA MWANADAMU NA HAKI ZA KIJINSIA?

Tunaweza kuwa na Redio 10 Bora Kidemokrasia na Haki za Kibinadamu; Magazeti 10 Bora Kidemokrasia, Kihabari za Kuchumi/Kijamii na Haki za binadamu; Televisheni 5 Bora , Kihabari za Kuchumi/Kijamii na Kihaki za Kibinadamu.

Hili litasaidia kujua vyombo vipi vya habari ni PUMBA (vyombo vya habari vilivyoolewa na wanasiasa) na vipi ndio nafaka halisi (vyombo vya habari huru.). Na pia kuondokana na ile danganyatoto ya kila chombo cha habari Tanzania kuwa ndio NAMBA MOJA !!!


Nigeria please remember India's independence and the session of now Pakistan and Bangladesh, and the aforemath and aftermath. And Qatar and UAE and Moslems world over, now is the time to take a message of peace and unity to Nigeria for the good of all, and avoid tendency of fanning a civil war as leaders and followers from other faith are currently doing now!